Monday, May 18, 2009

Copy Right Registration of Mt. Kilimanjaro the Only Thing Kenyans Can Understand

Kinachotakiwa sio kulalamika bali kuchukua hatua haraka ambazo tumechelewa kuchukua. Hatua za kuchukua na za kitaalamu ni kwa Mamlaka inayohusika kuwekea Copy Right Mlima wa Kilimanjaro, pia wasiishie hapo wawekee copy right na jina na picha za Baba wa Taifa.
Baada ya kuchukua hatua hizi Kenya ni wajanja hawezi kufanya wanayofanya sasa maana watajua kuwa watalipa gharama za kufanya hivyo.

Ebu angalia nchi kama Afrika ya Kusini kwa kujua manufaa ya jina na picha ya Mzee Mandela tayati wameisha viwekea copy right, na hii ndio dawa ya wenzetu. Ni kuchua hatua za kisheria, nimeona Dr Livingstone anasema kwenda mahakamani huko tutashindwa maana hatuna copy right ya mlima wetu, hivyo ni lazima tuuwekee copy right na vivutio vingine muhimu tuvifanyie hivyo

No comments:

Post a Comment